Majina ya hizi sheria za Tanzania ni yapi

Mdanganywa

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
620
Reaction score
342
Hizi laws ni zenye majina gani?:


Cap. 317
Cap. 390
Cap. 391
Cap. 392
Cap. 393
Cap. 394
Cap. 395
Cap. 413
 
Acha uvivu usio na tija unaweza uka google tu fanya hivi Cap 317 of Laws of Tanzania, kwa kifupi hiyo ya kwanza ni Transport Licensing Act ya pili ni Potable spirits(compounding) Act
 
ni vizuri kufanya research ndugu
 
Wewe ni mwanasheria au! Km mwanasheria kusearch laws nimoja ya kazi zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…