Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
hahahaha mtoa mada kapata mtoto jinsia gani tumpe jina konk.Mwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala
cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
akina ndalahwa, bujiku, mapalala🤭Isiwasahau akina Mabula na Makoye 😅
kidogo niandike nikaghairi! mamaangu alikuwa anapenda kunitania nilipokuwa mdogo! 🤭Ng'wanidako
hahahaaa umetisha hapo najua ma3 tu, kwa bibi yangu miaka hiyo walikuwa wanafata maji ya kunywa kwa nyembe 🤣hahahaha mtoa mada kapata mtoto jinsia gani tumpe jina konk.
ngoja nikushushie list ya majina ya kisukuma.
Achague jina takatifu atalompa mwanae
- Lugodisha
- katwiga
- masemwa
- madonya
- chelehan
- mlalahasi
- bujiku
- tinkamanyile
- kubanamnelo
- nyanzara
- mwana bhugali
- mwana nyembe
- choro
- shinje
- mwana sungwi
- ntombi
- matiguja
- malale
- manyakenda
- sekelwa
leo dada tuongezee list
Jina maana yake ni nini kwanza, tuanzie hapo.kidogo niandike nikaghairi! mamaangu alikuwa anapenda kunitania nilipokuwa mdogo! 🤭
na akina Kashinje na magoko bila kumsahau ndamayape na bhudagalaIsiwasahau akina Mabula na Makoye
hahahaha umenikumbusha kuna bint tumesoma nae aliitwa Kabula Ntombi MasungaNg'wanidako
usukuman bhana mtu anaitwa majina ya chakula na matundahahahaaa umetisha hapo najua ma3 tu, kwa bibi yangu miaka hiyo walikuwa wanafata maji ya kunywa kwa nyembe
Nilisoma na dogo wa kisukuma anaitwa anasi sahani.usukuman bhana mtu anaitwa majina ya chakula na matunda
Ntombi ina maana gani? Nimewahi kufanya kazi na mtu anayeitwa Ntobi na kusoma na mwingine anayeitwa Ntambi.hahahaha umenikumbusha kuna bint tumesoma nae aliitwa Kabula Ntombi Masunga
Akina masalu, sundi, minza, Sangija, zawa, malimi, lemi, mgema, mang'ombe matonange, maderagawizaIsiwasahau akina Mabula na Makoye 😅
Me nilisoma na dogo anaitwa kumalijaNilisoma na dogo wa kisukuma anaitwa anasi sahani.
Jina maana yake ni nini kwanza, tuanzie hapo.
na vyombo jamani, mwana sahani🫨usukuman bhana mtu anaitwa majina ya chakula na matunda