Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
hahahaha sasa ukute ukiwa mjauzito usiku uniagze nikufatie sungwi au maembe ak mtoto namwita Sungwi.aisee tutagombana, uanze kumuita mwanangu shikombe,fugo.. duhu baba
Ila wasukuma huwa mnaniacha hoi hapo tu! ndio yale ya kukaa bugando week 3 kwa kukosa malipo unamuita mtoto bugando, mtoto sungwi?? ntakunyonga!hahahaha sasa ukute ukiwa mjauzito usiku uniagze nikufatie sungwi au maembe ak mtoto namwita Sungwi.
kama ukumbusho ulivo nitembeza usiku
MedeMwanasabuni!
Sumbu
wiza
shimbe
masala
mayala
cc: Binti wa zamani Baba mtakatifu91 Beira Boy OgaBoy de Gunner Mme Mwenza Mobutu JR leo dada et al...
Sio ya kibantu hata kizungu sasa mtu anaitwa drinkingwater, GaylordYapo mengi, mimi naanza na hili, wewe ongezea:
1. Keshomshahara
Ww si mnyarwanda sema ya kwenuAiseee mie sijui hata moja๐
Nani kakuambia mm mnyarwanda๐Ww si mnyarwanda sema ya kwenu
My g, ulisema Kwa majigambo huku ukini Tania mm msukuma eti mshamba. SS tuone nani mshambaNani kakuambia mm mnyarwanda๐
OMG ๐ฒ msukuma muongo weweMy g, ulisema Kwa majigambo huku ukini Tania mm msukuma eti mshamba. SS tuone nani mshamba
Sema nimesahau hata Uzi mwenye nigeenda ku quote. Ulisema kuwa heshima ilitoka baada ya kujua kabila languOMG ๐ฒ msukuma muongo wewe
๐๐๐๐๐ปPombe
Magufuli
Samia
Nyerere
Kawawa
Karume
Mwinyi
Mkapa
Makamba
Nchimbi
Bomani
Mgongo
Fimbo
Mchengrwa
Maokolo
Majogo
Makonda
Musukuma
Kichuguu
KabisaEn em Kushites
Machame moja bwashee ๐Ndenimbora Eshiwakwe Lema
hahahaha tena mtoto tunampa jina la SHIDA au TABUIla wasukuma huwa mnaniacha hoi hapo tu! ndio yale ya kukaa bugando week 3 kwa kukosa malipo unamuita mtoto bugando, mtoto sungwi?? ntakunyonga!
wew mzawa wa wapi mamaaAiseee mie sijui hata moja
Hospitalwew mzawa wa wapi mamaa
๐๐๐๐๐
Bora hata hio sahani, hilo jina la mwanzo sasa la anasi. Mtu ukisikia kwa mara ya kwanza unaweza jua ni Mq****du.na vyombo jamani, mwana sahani๐ซจ
gaylord ๐ฎโ๐จSio ya kibantu hata kizungu sasa mtu anaitwa drinkingwater, Gaylord