ili kuondoa ukakasi siku hizi wameongeza herifu moja ya O mbele, inasomeka mborooHee! Kumbe Mboro huko uchagani ni jina la mtu mwenye vichwa viwili na macho mawili, huku kwetu ni marufuku kuita jina la mtu kama huyo hadharani.
Ni hatari hii.ili kuondoa ukakasi siku hizi wameongeza herifu moja ya O mbele, inasomeka mboroo
mjuba naona jina TESHA limejirudia mara nyingi! huu uzi ulipandishwa kwa makusudi au ni concident tu? Kumbuka afande Tesha ana trend mitandaoni kwa sasa!Ni hatari hii.
Nipo. Nasubiri majibu yao kabla ya 29 mwezi 10 ili tuchukue nchi.
Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: kwa mfano, familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama ukoo wa akina Mushi, Mmasy Kimaro, Swai, Massawe, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Somi, Uronu, Mbasha, Mafuwe, Mbowe, Silaa, Kweka, Munisi, Mboya, Shuma, Meena hutoka Machame.
Akina Temu, Mlaki, Mlay, Lyimo, Moshiro, Mselle, Kamnde, Kileo, Kimambo, Tesha, Msaki, Assey, Kyara, Kessy, Ndanu, Macha, Mbishi, Kombe, Njau wanatoka Old Moshi na Vunjo.
Majina mengine ya Old Moshi ni kama yafuatayo: Saria, Mmari, Macha, Machange, Mshiu, Kyara, Moshi, Massamu, Kimambo, Mboro, Mlngu, Saule,Tenga, Njau, Malisa, Maro, Maeda, Ringo,Olomi, Ngowi, Lyatuu na mengine mengi.
Kavishe, Mrosso, Bongole, Mariki, Tarimo, Laswai, Mallya, Mrema, Mkenda, Massawe, Silayo, Lyaruu, Makyao, Mowo, Lamtey, Tairo, Masue, Maleto, Mramba, Kauki, Kiwango wanatoka Rombo.
Mchaki, Masawe, Sawe, Usiri, Shayo, Kiwelu, Makundi, Urasa, Mtui, Moshi, Meela, Minja, Njau,Saria, Mtei wanatoka Marangu na Kilema.
Rite, Makule, Minja, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro, Matowo, Towo, Mkony, Temba, Foya, Munishi, Kilawe, na kadhalika hutoka Kibosho.
Ukoo wa akina Teri wako Mamba, Chami, Chuwa, Kiria Owoya na wachache Sango, Old Moshi na wengine walihamia Maji ya Chai, Mkoa wa Arusha.
Kuna mpaka koo za kichaga zipo Arusha na Upareni kwa miaka mingi kabla ya uhuru...Pia umesahau koo zingine hapoo😁Majina ya kiukoo ya Kichagga pia huashiria wanatoka sehemu gani ya Uchaga, japo si lazima kuwa hivyo: kwa mfano, familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama ukoo wa akina Mushi, Mmasy Kimaro, Swai, Massawe, Lema, Urassa, Nkya, Ndosi, Somi, Uronu, Mbasha, Mafuwe, Mbowe, Silaa, Kweka, Munisi, Mboya, Shuma, Meena hutoka Machame.