Majina ya kichaga na sehemu yanapotokea kiasili

Ndugu kwani uzi wako una unauhusiano wowote na Mzalendo Capt.Tesha au coincidence.
 
mjuba naona jina TESHA limejirudia mara nyingi! huu uzi ulipandishwa kwa makusudi au ni concident tu? Kumbuka afande Tesha ana trend mitandaoni kwa sasa!
Nimeng'amua kitu hapa, kama huyo jamaa nae ni mchaga hii ni hatari kubwa zaidi, hao jamaa kwa kupenda pesa wamechanjiwa toka mwanzo wa ukoo wao.
 
SHOKI naomba unisaidie asili ya sehemu ya hili jina na maana yake 🙏
 
Kimaro vs Kimaryo
Mushi vs Moshi
Shao vs Shayo, tupe tofauti zake.

Moshi, Kombe, Mboya yanatumiwa na wasukuma pia.
Kimaro wapo Machame na Kibosho

Kimario wapo zaidi Rombo

Shao wapo zaidi Machame

Shayo wapo Marangu, Vunjo

Mboga ni Machame na Kibosho

Kombe ni Marangu
 
Massawe/masawe ni "kinyonga" anaweza kubadili rangi ya ukoo anavyotaka? Au ni makosa ya uandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…