Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ndio kwa mfano shau mei hawezi kuwa mwanaume kwasababu jina hilo lina maana ya mrembo mdogo au da nio haliwezi kuwa la kike kwasababu lina maana ya ng'ombe mkubwa (bull)hivi majina ya kichina ya wanaume na wanawake yanatofauti? Yaani kuna majina ya kike na kiume kama huku kwetu?
Hayana tofauti.
Baba V c kweli kabisa angalia haya majina ya wachina wakiume na kike ninaowafahamu personally, wanaume ni xu kwang ,xu fu li, xu ming, xu fao wanawake ni yao mei, yu kwa, yi wu, yuan liang hawa wote wako dar wanabangaiza