Wakifika unijulisheNgoja waje
Hata KULWA na DOTO ni kilugha cha hukohuko Kolomije.Sidhani kama kuna kiswahili chake.Ahsante sana ndugu mycall lakini huko ni kwa kilugha sasa... Vipi kwa kiswahili?
kulwa,doto,tatu,mwanne
Hapana Kashinje ni Mtoto anayezaliwa katanguliza miguu.Kurwa ndoto na kashinde sijui wa nne
Kulwa,Dotto,Shija ...Umenimaliza ulivyosema Masantula halafu Nyamayao.ππππ€£π
Hahaha![emoji817]DM unamaanisha,MWATANO anaweza tia-neno hapo[emoji23]kulwa,doto,tatu,mwanne