Majina ya kitanzania na kasumba ya siku hizi

Majina ya kitanzania na kasumba ya siku hizi

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Salama wakuu.

Kuna hii kasumba mpya imeingia kwenye jamii.ni kule kujaribu kuleta complications kwenye uandishi wa majina yetu hasa yale ya asili ili yafanane na yale ya kigeni.

Huwa sijui ni ulimbukeni tu au kutojua
Maana au historia. inajulikana waz kuwa majina ya asili hasa ya kibantu yana mfumo wake tena rahisi kabisa wa namna yanavyoandikika na kusomeka.

Mfano wa kasumba hizo ni kwa mfano sirro badala ya Siro au zitto badala ya zito au dialo badala ya diallo..sitta..Makalla.ngassa shizza nk

Yapo kibao tu..hv toka lini majina ya kiasili kimofolojia yakaundwa na complex double consonants..au upo ulazima yaandikike hivyo. ,
 
Hata wewe mwenye kama ungetumia ID ya kiasili ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom