Wewe unanipenda?
ahh mi love u bana..i wish nijue kimayai as u do...
n u seems 2b gud upstairs..zio masuto na magombano ya umu ndani ni kawaida tu..ndo yanafanya JF ikue..bt upunguze madongo kwa wale wapinzani wako...mnarushiana sana maneno sometmes...as if mnakaa nyumba ya kupanga chumba iki na kilae kumbe mwngne yupo ma londn .newyok mwngne yupo sinza bn mikocehn...
sina NYONGOMIE....siwez chukia mtu....mtu akileta wekundu mie nampa kubwa then maisha yanaendelea....nampenda tena afta kumchamba...
hah hahh aaa naona unambip MPINZANI WA JADI....?
Subir aje....
Mwajuma kwa nini unanichokoza lakini?
kashengo. And Bishweko.
hahahaha! Mpinzani wa jadi sijui ana damu ya kunguni. Lol!
Haupiti mwezi hajatajwa tajwa.
hahahaha! Mpinzani wa jadi sijui ana damu ya kunguni. Lol!
Haupiti mwezi hajatajwa tajwa.
Na wewe hunipendi?
kumbe hamisi kishindindo ndio nyani ngabu! Nisipoona post yako nakusahau.
hahh hahh hahhaaaaa nimecheka yaaan duu..nani?
...HAMISI KISHINDINDO?...ahhh i hatari...NN NIPO APA NJE NTAKUWA WAKILI WAKO ..KWA ili ahhahaa hahh husniyo imezd kg km kabisaaaa stak mieeee...!!!!!!!!!1
Rose bana....uwe unaandika kikawaida basi....[/QUOTE
ukiniahidi kuandika ki bbc ridhaa ya kiswahili basi namimi ntatumia kiBAKITA...lakin ukiandika ki CNN namimi ntaendelea kuandika kimanzese...
Usimsikilize huyo Mwajuma Kandambili…hana hili wala lile.
Na wewe hunipendi?
rose huyu mtu leo kanywea utafikiri kamwagiwa maji ya baridi. Mmh, hebu ongea nae chemba kama vp tumpeleke bichi kimba akaoge maji ya bahari atoe toe vinux.hah hahhaa..naona leo atak KUTOA LA MOYONI...akifunguka apa mi simoooo...mchanga wa pwan simoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Na wewe hunipendi?
| [h=4]15[/h] | Walipokwisha kula, Yesu alimwuliza Simoni Petro, "Simoni, mwana wa Yohane! Je, wanipenda mimi zaidi kuliko hawa?" Naye akajibu, "Naam, Bwana; wajua kwamba mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza wana kondoo wangu." |
| [h=4]16[/h] | Kisha akamwambia mara ya pili, "Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?" Petro akamjibu, "Naam, Bwana; wajua kwamba nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza kondoo wangu." |
| [h=4]17[/h] | Akamwuliza mara ya tatu, "Simoni mwana wa Yohane! Je, wanipenda?" Hapo Petro akahuzunika kwa sababu alimwuliza mara ya tatu: "Wanipenda?" akamwambia, "Bwana, wewe wajua yote; wewe wajua kwamba mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Tunza kondoo wangu! |
mhh leo umekua mdiplomasia...aujawaka?
i lyk t.....husniyo jamann plz mwache yanga ..atak kufunguka leo..muacheeeeeeeeeeee....
rose huyu mtu leo kanywea utafikiri kamwagiwa maji ya baridi. Mmh, hebu ongea nae chemba kama vp tumpeleke bichi kimba akaoge maji ya bahari atoe toe vinux.