Majina ya kwenye email hayaonekani kwenye sm baada ya ku-reset sim

Majina ya kwenye email hayaonekani kwenye sm baada ya ku-reset sim

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana.

Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
 
Back
Top Bottom