Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Habari za hapa jamvini wadau!

Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali yalipo.

Kuna utafiti unatakiwa kufanyika, na kwa hiyo naomba kama huna taarifa za msaada usiharibu thread hii.

Ahsanteni
 
Watu wa daresalam wanasema
Kuuliza 1000
Kupelekwa 2000-5000

Yani pamoja na kutoa tahadhari juu ya kupunguza masihara kwenye hii thread bado tunasonga. Haya bwana, watanzania ndivyo tulivyo.
 
Samahani wadau naomba muendelee kunisaidia majina ya matawi ya SIMBA na YANGA maarufu jijini DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…