Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Chakalika.Tunaomba maana ya kwechoncha
We shall .... (DO WHAT?)​Rugaimukamu namtela sana, yangambila stupid mbele ya waifu bwana.
Hahahah hii unaijua wewe, uhayani hakuna majina ya miaka hiyo.2016 - Katerero
2015 - Shuntama
Iwe bojo
Jaribu kuwa serious mkuu,nikyo batugahila wakati mwingine! Akili gani hizi badala ya kufikiria masuala ya maendeleo iwe notekeleza OBUSI.....NI,jaribu kujirudi.Mimi nafikiri we simzaliwa wa huko ndio maana unaleta maneno unayo yasikia mitaani.2016 - Katerero
2015 - Shuntama
Jaribu kuwa serious mkuu,nikyo batugahila wakati mwingine! Akili gani hizi badala ya kufikiria masuala ya maendeleo iwe notekeleza OBUSI.....NI,jaribu kujirudi.Mimi nafikiri we simzaliwa wa huko ndio maana unaleta maneno unayo yasikia mitaani.
Majina ya miaka kwa kihaya ndio masuala ya maendeleo?????
kasiinge lugaba..inye ntongaine muno 2011 mbwenu kanye chonche waitu mayo wakora kutumanyisa ichwe abali omwihanga..
Huwa wanaangalia hali ya kijamii na kiuchumi,hali ya hewa nk.kama kuna ukame,ugonjwa,uhaba wa chakula,serikali isiyojali au inajali raia wake,,elimu ,uwepo wa senene ,mazao ya kutosha ,tetemeko kama hivi,vita au majanga mengine ya asili.Huwa wajuaje mpaka waupe jina la hivyo? Kwa mfano 2017 kwa nini wameuita hivyo?