Majina ya mikopo kwa countinuing students

Majina ya mikopo kwa countinuing students

Ally Kissinga

Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Hellow wadau,

Naombeni mnieleweshe kuhusu HESLB vip kuhusu majina ya waliomba mkopo continuing student coz am confused au HESLB ndo wamepotezea!!!!

Natanguliza shukraan
 
Watatuma majina chuoni so tulia ndungu yangu
 
kiukweli wanatuvuruga sijui kwanini hawatoi maelezo ,wanatuchanganya sana… kuna jamaa kapata uchizi sababu ya presha zisizo na maaana
 
Back
Top Bottom