Ally Kissinga Member Joined Sep 19, 2013 Posts 9 Reaction score 1 Oct 9, 2014 #1 Hellow wadau, Naombeni mnieleweshe kuhusu HESLB vip kuhusu majina ya waliomba mkopo continuing student coz am confused au HESLB ndo wamepotezea!!!! Natanguliza shukraan
Hellow wadau, Naombeni mnieleweshe kuhusu HESLB vip kuhusu majina ya waliomba mkopo continuing student coz am confused au HESLB ndo wamepotezea!!!! Natanguliza shukraan
Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 404 Oct 9, 2014 #2 Watatuma majina chuoni so tulia ndungu yangu
M2flan JF-Expert Member Joined Jun 27, 2013 Posts 584 Reaction score 293 Oct 9, 2014 #3 Ally Kissinga said: Hellow wadau naombeni mnieleweshe kuhusu helsb vip kuhusu majina ya waliomba mkopo continuing student coz am confused au helsb ndo wamepotezea!!!![?/QUOTE] Unaingia mwaka wa ngapi? Click to expand...
Ally Kissinga said: Hellow wadau naombeni mnieleweshe kuhusu helsb vip kuhusu majina ya waliomba mkopo continuing student coz am confused au helsb ndo wamepotezea!!!![?/QUOTE] Unaingia mwaka wa ngapi? Click to expand...
L lalisa Member Joined Aug 18, 2013 Posts 22 Reaction score 11 Oct 10, 2014 #4 hapa nami nahusika, naona kimya au ndio tushatemwa
M millz Member Joined Apr 12, 2013 Posts 85 Reaction score 14 Oct 10, 2014 #5 kiukweli wanatuvuruga sijui kwanini hawatoi maelezo ,wanatuchanganya sana kuna jamaa kapata uchizi sababu ya presha zisizo na maaana
kiukweli wanatuvuruga sijui kwanini hawatoi maelezo ,wanatuchanganya sana kuna jamaa kapata uchizi sababu ya presha zisizo na maaana