harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Hiyo ya wasabato ni Rock FmBaraka FM
Ushindi FM
Pia radio maria na radio moja ya wasabato wana masafa yao hapo green city.
Baraka FM
Ushindi FM
Pia radio maria na radio moja ya wasabato wana masafa yao hapo green city.
Hiyo ya wasabato ni Rock Fm
Nataka kupeleka makala mkuu, nawe andaaUsisahau kutupa kazi ya kutangaza taarifa ya habari za mambo mbalimbali ya dini mkuu 😬!
HahahaaaaaaRadio mdee fm
Sikiliza Highlands FM 92.5 MHz, redio yenye kusikika kwa radius ya kilometa 200 mzunguko.Ushindi fm
Baraka fm
Hrm kama sijakosea(radio ya nabii mpanji-99.3)
Rock fm na moja nimeisahau.
Nyongeza za radio za mbeya mjini ambamo mahubiri husikika mara kadhaa
Bomba fm
Generation fm
Mbeya fm
Must fm
Highland fm
Big star fm...n.k
Ukienda wasalimie Sana.
Usimpotoshe Mkuu Redio za dini Mbeya ni Tano tuUshindi fm
Baraka fm
Hrm kama sijakosea(radio ya nabii mpanji-99.3)
Rock fm na moja nimeisahau.
Nyongeza za radio za mbeya mjini ambamo mahubiri husikika mara kadhaa
Bomba fm
Generation fm
Mbeya fm
Must fm
Highland fm
Big star fm...n.k
Ubarikiwe sana,😄😄ndicho mtoa mada alikuwa anahitaji,umemaliza mkuu.Usimpotoshe Mkuu Redio za dini Mbeya ni Tano tu
Bomba Fm Ni Commercial
Must Fm Ni Commercial
Big Star Fm Ni Commercial
Mbeya Fm Ni Commercial
Generation Fm Hii Ilishafutwa Haipo
Rock Fm Ni Commercial Pia Japo Imechukuliwa Na Wasabato Siku Za Hivi Karibuni
....
Redio Za Dini Mbeya Ni Tano Tu Ambazo Ni
1/ Ushindi Fm Stereo Iliyopo Isyesye Mbeya
2.Baraka Fm Iliyopo Kadege
3. Adonai Fm Iliyopo Uyole Uwamu Saccoss Building
4. Gmcl Iliyopo Ilomba Ya Nabii Mpanji na mwisho ni
5. Rungwe FM iliyopo Tukuyu Mjini
Hizo Ulizotaja Huwa Na Vipindi Vya Dini Jumapili Tu...Ila Za Dini Ni Hizo Nne Tu
Jamaanii😀😀Radio mdee fm