cement
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 581
- 218
Duh hii ni kali ya mwaka jamani mwanzoni majina yalitoka vizuri wakufanikiwa wakawa wamefanikiwa semina ilikuwa ianze leo,watu wamekwenda kwenye kituo cha semina wakakuta kuna mabadiliko ya semina kwamba inaanza jumatano ss kichekesho majina katani yamebandikwa mengine kabisa na ni zaidi ya 450,hii imekaaje kuna usawa hapa?je wale wa awali mmewatosa???