Majina ya Sensa yachakachuliwa Ofisi ya kata Kimara-majina yabandikwa upya.

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
218
Duh hii ni kali ya mwaka jamani mwanzoni majina yalitoka vizuri wakufanikiwa wakawa wamefanikiwa semina ilikuwa ianze leo,watu wamekwenda kwenye kituo cha semina wakakuta kuna mabadiliko ya semina kwamba inaanza jumatano ss kichekesho majina katani yamebandikwa mengine kabisa na ni zaidi ya 450,hii imekaaje kuna usawa hapa?je wale wa awali mmewatosa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…