Alfred swai New Member Joined Aug 12, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Aug 31, 2013 #1 Jamani naomba mnijuze Tumaini ya Dar vipi wameshatoa majina yao ya undergraduate ya degree ya 2013/2014
Jamani naomba mnijuze Tumaini ya Dar vipi wameshatoa majina yao ya undergraduate ya degree ya 2013/2014
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Aug 31, 2013 #2 Alfred swai said: Jamani naomba mnijuze Tumaini ya Dar vipi wameshatoa majina yao ya undergraduate ya degree ya 2013/2014 Click to expand... Mkuu, TCU wamesharahisisha mambo hamna haja ya majina kutoka chuo husika.
Alfred swai said: Jamani naomba mnijuze Tumaini ya Dar vipi wameshatoa majina yao ya undergraduate ya degree ya 2013/2014 Click to expand... Mkuu, TCU wamesharahisisha mambo hamna haja ya majina kutoka chuo husika.