mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Uliomba uhamisho wa kubadilishana au uliomba wa kawaida yaani sio wa kubadilishana?Wajumbe Nataka kufahamu ni lini huwa majina ya uhamisho wa walimu huwa yanatolewa na Tamisemi.
Msaada
Mwaga PDF hapa ajioneeUliomba uhamisho wa kubadilishana au uliomba wa kawaida yaani sio wa kubadilishana?
Asubiri walimu wenzake watakuja kumjibu maana mimi siwapendi ata kuwasikiampwayungu village majibu tafadhali
Wa kawaida.Uliomba uhamisho wa kubadilishana au uliomba wa kawaida yaani sio wa kubadilishana?
Hana ajira jobless huyo πππmpwayungu village majibu tafadhali