Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Baada ya kugogo na kuuliza baadhi ya masheikh,mapadre,mawalii,masister na wagema ulimbo mbalimbali,haya ndio majibu walionipa kuhusu majina ya vidole vya mikono karibia asilimia 99.9% walishindwa kunijibu kuhusu majina ya vidole vya miguu,kama unajua naomba ushee nami.
Haya ni majina ya vidole vya mikono.
1.dole gumba
2.kidole cha shahada
3.kidole cha ma tu si
4.kidole cha pete
5.kidole cha sunna
Je? vidole vya miguu vinaitwaje.
Nalog off
Kama vya mikononi tu
mkuu nashukuru kwa majibu yako yenye msaada.
Nalog off
Kidole cha matusi ni kipi? Yani ni cha kutukania ama?
hicho kidole cha mtusi wamekudanganya...
Kidole cha kati kimepewa jina baya na hicho cha sunna mmhmkuu nashukuru kwa majibu yako yenye msaada.
Nalog off
Kidole cha matusi ni kipi? Yani ni cha kutukania ama?
Wanasema eti hata kwenye kufanya matusi kinatumika[emoji85] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]ndio ni cha kutukania na kukitumia ni kile cha kati.
Nalog off