sheria za siri za uswisi hazuruhuru kutaja hadharani bila serikali ya nchi husika kuomba kibali cha kutajwa hadharani...kinachotakiwa ni bunge kushinikiza SERIKALI YA MAGAMBA iombe kibali cha kuidhinisha majina yatajwe na kiasi cha kila kigogo na benki anayotunzia
Kwa takribani siku tatu tumesikia kuwa kuna Viongozi wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM wanaomiliki akaunti huko nchini Uswisi. Mambo hayo nakumbuka miaka ya nyuma tulikuwa tukisimuliwa alikuwa akiyafanya Marehemu Mobutu Seseseko wa Zaire. Tunaomba yeyote anayejua majina ya Vigogo hao wanaotuibia kupitia makampuni yaliyowekeza kwenye madini, mafuta na gesi aweke majina yao hapa.
Usalama wa Taifa wanalifanyia kazi hili ila nijuavyo hata wao wamepata deal hapo, sidhani kama watatoa hayo majina kwani itawasaidia nini?Kwa takribani siku tatu tumesikia kuwa kuna Viongozi wa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM wanaomiliki akaunti huko nchini Uswisi. Mambo hayo nakumbuka miaka ya nyuma tulikuwa tukisimuliwa alikuwa akiyafanya Marehemu Mobutu Seseseko wa Zaire. Tunaomba yeyote anayejua majina ya Vigogo hao wanaotuibia kupitia makampuni yaliyowekeza kwenye madini, mafuta na gesi aweke majina yao hapa.
kurudisha pesa kimya kimya haitoshi kwani wezi walioiba hizo pesa ni wale wale walioiba na kwingine..kwa nini tusiwajue ili tufuatilie nyendo zao?? ni rahisi kupambana na tatizo kama utajua chanzo chakeYaaaaani bunge likae kushinikiza majina yatajwe?!, why spending your usefull resources for non usefull deed?!, mimi nilidhani bunge lishinikize pesa irudi kwenye ac ya taifa kama chenji ya raada ilivyorudishwa!.
maana hawa wawili wanapigania mkate,sasa mmoja kapewa nafasi ya kuidhinisha mkate wa mwenzake kazi ipoLowasa kaenda kuchimbua habari, zitajulikana kwani ndiyo zitakazo msafishia njia ya kwenda ikulu. Natabiri Membe kujiuzuru uwaziri wa mambo ya nje soon!! Kama EL hataweka wazi hili kashfa zito, basi tutaendelea kumuona mtu asiye na nia nzuri na hii nchi.
Bilion 300 si kidogo, zikimwagwa kwenye makanisa na misikiti nani atasema EL hafai, wote wataanza kukenua meno wakisahau watanzania wanamatatizo ya uongozi!! viongozi wasiojali hatma ya nchi, zaidi ni kujipendekeza kwa viongozi wetu kwenye hizi nchi zinazotuibia mali ghafi.EL kaenda kukaushia habari siyo kufichua wanalindana sana hao unajuaje kama na yeye ni mmojawao?