nyongeza
Mnazi - ni ya watu wa pwani, maarufu kwa harufu yake kali (utomvu wa mnazi)
Busa??
Komoni??
Pingu??
Majina ya pombe zetu za asili:
Dengelua – Hii inapatikana kule upareni
Mbege – Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi – Kule Iringa
Ulaka – Nasikia inapatikana Morogoro
Boha – sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi – Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki – Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu – Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende – Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo – Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, machozi ya Simba, Uzo, Chang'aa, na haijulikani asili yake ni wapi
Nyingine mtajazia……………………..
Dengelua Hii inapatikana kule upareni (ni ya miwa)
Mbege Hii inapatikana kule Moshi uchagani (ni ndizi+ulezi)
Ulanzi Kule Iringa (ni ya utomvu wa mianzi)
Wanzuki Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia (maana ya wanzuki ni wa nyuki, kwa asili intumika asali lakini siku hizi inatumika sukari)
Gongo nadhani teknolojia yake ililetwa wakati wa vita, kumbuka bila pombe hakuna vita (inatengezezwa kwa vitu vyenye sukari nyingi kama sukari, molasesi, mapapai n.k. Hii ni pombe ya mvuke (spirit) tofauti na pombe nyingine za kienyeji)
nyongeza
Mnazi - ni ya watu wa pwani, maarufu kwa harufu yake kali (utomvu wa mnazi)
Busa??
Komoni??
Pingu??
Zote hizi zinapatikana sehemu moja?Comoni inapatikana iringa inatokana na vimelea vya mahindi
kangala-Iringa inatokana na pumba za mahindi
Msabe- Iringa,inatokana na mtama
Sweera-Iringa inatokana na vimelea vya mahindi pamoja na asali
Gongo asili yake ni Germany ilifika hapa kwa mara ya kwanza WW1 baada ya waheshimiwa kukosa whisky ndipo wakaamua kuitengeneza.Majina ya pombe zetu za asili:
Dengelua Hii inapatikana kule upareni
Mbege Hii ina[patikana kule Moshi uchagani
Ulanzi Kule Iringa
Ulaka Nasikia inapatikana Morogoro
Boha sina uhakiaka inapatikana wapi
Kindi Hii nayo naomba msaada sijui asili yake ni wapi
Wanzuki Hii ni new technology nasikia ina gesi kushinda hata Bia
Chimpumu Hii nayo nasikia inapatikana mikoa ya kusini
Tende Hii inapatikana wisiwa vya karafuuZanziberi
Gongo Hii ina majina mengi ajabu, Kachaso, machozi ya Simba, Uzo, Changaa, na haijulikani asili yake ni wapi
Nyingine mtajazia ..
Kuna myakaya wa NAMATUHI bana.....mbele ya mpitimbi kama unakwenda Muhukulu, kile kijiji cha mzee Msongela we acha tuuuuuWakuu kule kwetu mpitimbi songea kuna kilaji babu kubwa kinaitwa myakaya, inatengenezwa kwa mihogo haha, kuna msabe hii inapatikana iringa vijijini, pyua au gongo bin chang'aa inatokana na sehemu na sehemu, wakati naishi maeneo ya shamsi pale arusha kuna washkaji zangu wa matejoo waliniambia pyua ya pale inamchanganyiko wa hatari, kuna molases humo, mapapai, vidonge vya klorokwini yaani noma tupu
Kuna myakaya wa NAMATUHI bana.....mbele ya mpitimbi kama unakwenda Muhukulu, kile kijiji cha mzee Msongela we acha tuuuuu