Umsolopogaas
Member
- Jul 18, 2010
- 40
- 11
Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga
atakuwa na tabia hiyo hiyo.
Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu.
Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha Msoga. Daktari wake anaitwa Mfisi. Waziri Mkuu wake anaitwa Pinda. Mgombea mwenza wake anaitwa Bilali. Alirithi utawala (au uongozi?) kutoka kwa Mkapa.
Kwa mtaji huo utategemea Tanzania iwe kitu kingine zaidi ya moja ya nchi zilizo maskini sana ulimwenguni ambayo ndiyo imekuwa sifa yetu ya kudumu kwa miaka 50 sasa?
Naona ili tuendelee inabidi tuwe na viongozi wenye majina yanayoashiria mafanikio, neema, success, achievement, accomplishment na siyo kinyume chake.