Majina ya vitabu vinavyowabadilisha watu maisha yao kifedha ni hivi hapa, 2018 inakusubiri kwa mafanikio

Kuna vtabu vingi tu nimevisoma lakini the best ever kwangu ni

THE MILLIONAIRE FASTLANE
NA
UNSCRIPTED : Life,liberty and pursuit of entrepreneurship

Yani ukivisoma hivi/ukaskiliza audio books ...utathink na kuact different

PIA TUKUMBUSHANE, READING PEKEE HAITOLETA MAFANIKIO, Bali ACTION/PRACTICE za ulichojifunza EVERYDAY

Wish u all successful 2018
 
hivi vitabu vinapatikana wap kwa hapa tz mkuu....
 
Well said mkuu hivi vitabu are best books ever.

Pia umeshauru sahihi kusoma pekee, haitabadilisha maisha yako jitume fanya kazi jijengee mazingira ya maanikio.
 
Well said mkuu hivi vitabu are best books ever.

Pia umeshauru sahihi kusoma pekee, haitabadilisha maisha yako jitume fanya kazi jijengee mazingira ya maanikio.
Kabisa mkuu kikubwa ni kupractice utainjoi sana maisha
 
Mkuu samahani naomba unitumie hivyo kwenye email yangu sijavisoma bado.. Nisaidie tafadhali mkuu
 
Yaani nyie mnakiacha hiki kitabu?

THE GREATEST SALESMAN IN THE WORLD by OG MANDINO.
 
Jina la mwandishi wa hicho cha INSCRIPTED, au kama unayo softcopy fanya hisani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…