Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

Mahakama ya kuku, kiluvya kwa Komba, kiluvya kwa Kawawa(Gogoni), Kiluvya Madukani(Kwa Sumaye), Magari Saba....
 
SAMAKI; MAKONDE; TANKI BOVU; BASI HAYA; KWA JUMBE......Hiyo Bgmy Eoad....
 
Banda la ngozi
Tazara
Kwa mnyamani, msaada kwa simba, msaada kona
msaada pelapela,
Kwa bibi nyau.
 
Kwa msuguri, kimara bucha, basihaya,palestina, kijiweni, kwa mtogole, etc
 
1.Magomeni Mapipa
2. Magomeni Usalama
3. Magomeni Mwembechai
4. Magomeni Kagera
5. Magomeni Argentina
6. Manzeshe
7. Tip Top
8. Mabibo Kona
9. Urafiki...duu!!!
 
Chakachua (Chama)-Tabata
Bosnia (Kisukuru)-Tabata
Barakuda-Tbt Segerea.
 
Jeti
Kwa gude
Sheli
Maduka
Relini
Lumo
Mwisho wa lami
Kigilagila
Bombom
Chadema
Kijiwe samuri
 
Tegeta: fia tanga

Chuo: Savei, Ardhi, Udasa, Utawala, Maji

heheheheeee watoto wa chuo utawajua. enzi zile kulikuwa na kitui ch Silent Inn.....au kibongobongo Sailentini.....bila kusahau pale Vinyago
 
kwa ndevu, bibi paka, kwa singh, mwembe yanga, mwembe jini, kiembe mbuzi bombom, nzasa,
 
mgeni nani
kwa tumbo
Goigi
samaki
Msikitini
Kanisani
Kwa Joseph
Super
 
Lugaro,Bodeni,Kwa Komba,TenkiBovu,Kbao cha shule,Samaki,Goig,Super,Makonde,Interchick,Jogoo,african,mbuyuni,tegeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…