Wenywewe wanaita FOMA,vipi mzee wa MBAGARA wewe?
8. Mabibo kona [/quote said:angle
sokoni
beach!!!!!
hahaaaa...!!.hicho kituo nimekipenda,kiko pande zipi?dena bwana..!!
mbona sijaona posta mpya, posta ya zamani, kituo kipya
kibombom na kijiwe samli! kwa bibi mapaka!
mikocheni: shoppers plaza, chama, kwa mwalimu nk.
Umenikumbusha kuna kituo kimoja wakati unaenda mororgoro kuna kijiji kinaitwa Senge mkififka hapo kama umepanda coaster utasikia konda anasema ------- wapo? Watu wanajibu tupo! Lol!