Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
Gesti hapa kwa mtogore majina yetu yana akisi mazingira..kuna majina kama cha kwanza, fasta fasta, kitu tigo, no chabo..hizo zenye majina ya mji ya majuu ni zaki sharobaro
Hapo kwekundu hebu fafanua kidogokuna moja buguruni utakuta wameandika mama salma kikwete, anne makinda, mama Rwakatare, nk mi nikajua ndipo zilipo office zao kumbe ni sehemu ya kupigia mzigo
Mamboz ma Great Thinkers!
Haya majina ya ROOM za GUEST yananiacha hoi unaweza ukafikiria mtu kasafiri nje ya nchi kumbe yupo TZ coz wamezipa hizo room majina ya miji mikubwa ya nje ya nchi kama MANCHESTER,MADRID,LONDON,ALABAMA nk.
Hivi ni kwanini hawatumii namba kama kawaida??!!
PEMBA, CUF, CCM,TLP,NCCR, vile executive:LOWASSA,ROSTAM,KARAMAGI kile cha bei GHALI huitwa CHENGE,MANJI
Hahahah....Eng. Smasher bwana.....
PEMBA, CUF, CCM,TLP,NCCR, vile executive:LOWASSA,ROSTAM,KARAMAGI kile cha bei GHALI huitwa CHENGE,MANJI
Kijitonyama uzuri majina ya guest moja eti real madrid. manchester, arsenal, tottenam, leeds, new castel unaweza kuta wewe si arsenal halafu ndio kimebaki hicho tu unalala hulali?
Hapo kwekundu hebu fafanua kidogo
PEMBA, CUF, CCM,TLP,NCCR, vile executive:LOWASSA,ROSTAM,KARAMAGI kile cha bei GHALI huitwa CHENGE,MANJI
Marytina,lol umenivunja mbavu! ahsante kwa kuniondolea mastress!PEMBA, CUF, CCM,TLP,NCCR, vile executive:LOWASSA,ROSTAM,KARAMAGI kile cha bei GHALI huitwa CHENGE,MANJI
mimi sio mkaka ni mdada ila hivyo vumba vipo huku ARUSHA jina husadifu namna quality ya kitu ulivyoduuh! Kaka inaonyesa upo fiti na geust house mpk unajua namna hii