Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Kuna wanasoka hodari wa zamani ambao majina yao yalileta burudani hasa yalipotamkwa na watangazaji mahiri wa mpira wa enzi hizo kama Charles Hilary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Iddie Rashid Mchatta (RIP) na Nadhir Mayoka (RIP). Baadhi ya ninaowakumbuka ni hawa:
Madata Lubigisa
Madundo Mtambo
Morris Nyuchi
Kipanya Malapa
Ikupilika Nkoba
Costa Magoloso
Omari Mswaki
Betwell Africa
Itutu Kigi
1.Joseph Fungo
2.Yusuf Ismail Bana
3.Freddy Felix Minziro
4.Athumani Juma chama
5.Lawrence Mwalusako
6.Issa Athuman
7.Aboubakar Salum
8. Athuman China
9. Said Mrisho
10. Abeid Mziba
11. Edgar Fongo....
Enzi hizo sikuwa na sababu ya kutokuipenda hii club asiee...
yanga hii ilkuwa ni kali, ila wakati naanza kushabikia yanga list ilikuwa ni:
1.Hamis Kinye
2.Yussuf Ismail Bana
3.Ahmed Amasha
4.Athuman Juma chama jogoo
5.Allan Shomari
6.Charles Boniface mkwasa
7.Hussein Idd/Juma kampala
8.Juma Mkambi "jenerali"
9.Makumbi Juma "Bongabonga"
10.Abeid Mziba
11. Omar Hussein "keegan/ saleh Hijja
baadae ndo kikaja kikosi cha mkuu mkirua hapo juu.
Hata hivyo siwezi wasahau kina muhidin cheupe, celestine sikinde mbunga, fred felix minziro, sahau kambi n.k
Hapana mkuu....Yuko sahihi kabisa.....Kuna kikosi cha Malindi cha mwaka 1994/1995 ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na NAUSHAD MOHAMMED....Kikosi hiki kilisajili wachezaji nyota wa nje kama Mordon Malitoli na Alfred Mapataki (Zambia), Julian Albertov (Bulgaria), Edibily Lunyamila, Victor John Bambo, Nico Bambaga, Athanas Michael, Juma Bakari Kidishi , Innocent Haule na wengine.....Malindi ilitisha sana kwenye Kombe la ligi ya Muungano ya mwaka 1995...Hakukuwa na cha Yanga wala Simba, kila timu ilipokea kichapo tu....Kikosi kilikuwa chini ya Super Coach wa Zanzibar enzi hizo Abdulghan Msomakenneth Malitoli alikuwa ni mchezaji wa Zambia na mdogo wake Mordon Malitoli. Labda ulikuwa unamaanisha Kenneth Mkapa leftback na team captain wa Yanga kipindi hicho.
ni kweli bwana, nilishasahau kama hawa wazambia walikuja kupiga soka la kulipwa hapa bongo!Hapana mkuu....Yuko sahihi kabisa.....Kuna kikosi cha Malindi cha mwaka 1994/1995 ambacho kilikuwa kinafadhiliwa na NAUSHAD MOHAMMED....Kikosi hiki kilisajili wachezaji nyota wa nje kama Mordon Malitoli na Alfred Mapataki (Zambia), Julian Albertov (Bulgaria), Edibily Lunyamila, Victor John Bambo, Nico Bambaga, Athanas Michael, Juma Bakari Kidishi , Innocent Haule na wengine.....Malindi ilitisha sana kwenye Kombe la ligi ya Muungano ya mwaka 1995...Hakukuwa na cha Yanga wala Simba, kila timu ilipokea kichapo tu....Kikosi kilikuwa chini ya Super Coach wa Zanzibar enzi hizo Abdulghan Msoma
Timu ilianza kutetereka baada ya NAUSHAD MOHAMED kuitosa
kenneth Malitoli alikuwa ni mchezaji wa Zambia na mdogo wake Mordon Malitoli. Labda ulikuwa unamaanisha Kenneth Mkapa leftback na team captain wa Yanga kipindi hicho.
Mimi wachezaji hawa ndo majina yao yalikuwa yananivutia mkuu wangu....Hawa ni pamoja na wachezaji wa Kenya, Tanzania na Uganda pamoja na wachezaji wa mataifa mengine waliowahi kucheza Tanzania....
1. Ikupilika Nkoba
2. Mkama Ntare
3. Wastara Baribari
4. Mbui Yondani
5. John Kanakamfumu
6. Kingsley Malwilo
7. Chachala Muya
8. Joshua Kilale
9. Jimmy Mored
10. Mackenzie Ramadhani
11. Abdallah Mkali
12. Celstine Sikinde 'Mbunga'
13. Kichochi Lemba
14. Doyi Moke
15. George Ssemogerere
16. Hassan Afif
17. Peter Poka
18. Hussein Mwakuruzo
19. Maonwa Mkami
20. Dhikiri Mchumila
21. Ngandou Ramadhan
22. Frank Kasanga 'Bwalya'
23. Raphael Paul 'RP'
24. Mikidadi Jumanne
25. Juma Burhani
26. Steven Mapunda 'Garincha'
27. Michael Paul
28. Clement Kahabuka
29. Innocent Haule
30. Simai Haji
31. Victor John Bambo
32. Abdul Ramadhan Mashine
33. Damian Morisho Kimti
34. Hezron Mauma
35. Issa Athumani Mgaya
36. Kasongo Athumani Mgaya
37. Twaha Hamidu Makali 'Noriega'
38. Bakari Malima 'Jembe Ulaya'
39. Hamza Mponda
40. Kitwana Suleiman
41. Beya Simba
42. Hamza Mponda
43. David Odhiambo
44. Julius Kalambo
45. Maggid Musisi
46. Mustapha Hozza
47. Awadh Gessani
48. Lila Shomari.
49. Issa Sekatawa
50. Hamza Mtono
51. Duncan Mwamba
52. Juma Bakari Kidishi
53. Fikiri Magoso
54. Modorn Malitoli
55. Julian Albertov
56. Nico Bambaga.
57. Hamis Thobias 'Gaga'
58. David Mihambo
59. Ramadhan Kilambo
60. Athumani Kilambo
61. Sahau Kambi
62. Steven Casmir Nemes
63. Maulid Dilunga
64. Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' a.ka DHL
65. Method Mogella 'fundi'
66. Gibson Sembuli
67. Ahmed Amasha
68. Mchunga Bakari
69. Bakari Idd
70. David Mwakalebela
71. Godwin Aswile 'Scania'
72. Stephen Mussa
73. Mbwana Makata
74. Suleiman Mathew Luwongo
75. Juma Pondamali 'Mensah'
76. Riffat Said
77. Ally Bushiri (Kipa)
78. Ally Bushiri (Beki na kiungo wa Pamba)
79. Paul Rwechungura
80. Peter Tino
81. Gebo Peter
82. Razack Yusuph 'Careca'
83. Juma Amir Maftaha
84. Hussein Aman Masha
85. Ally Yusuph 'Tigana'
86. Omary Hussein 'Keegan'
87. Lance Evans Ponera
88. Riffat Said
89. Deo Mkuki
90. Deo Njohole 'OCD'
91. Nicodemus Njohole
92. Spear Mbwembwe
93. Bahatisha Ndulute
94. Manfred Luambano
95. Mohamed Mwameja
96. Patrick Mwangata
97. William Fahnbuller
98. Constantine Kimanda
99. Banza Tshikala
100. Salum Kabunda a.k.a Ninja a.k.a Msudani a.k.a Baba Semeni
Na hapo usikie wakitamkwa na wachezaji wa RTD kama
1. Mshindo Mkeyenge
2.Omary Jongo
3.Dominick Chilambo
4.Charles Martin Hilary
5.Barthlomeo Komba
6.Ahmed Jongo
7.Salim Mbonde
8.Abdallah Idrisa Majura
9. Idd Rashid Mchatta
10.Mikidad Mahmoud 'Brother Mick" na
11.Abdul Ngarawa
Aliyechezea Malindi sio Kenneth Malitoli....Aliyechezea Malindi ni Mordon Malitoli, mdogo wa Kenneth Malitoli...Nilikua namaanisha Keneth Malitoli....kuna wakati alichezea Malindi ya Zenji mwaka ule Malindi wamefika semis za Kombe la CAF
mimi nachangia majina haya,
mohammed mkandinga,
mohd 'bob' choppa,
faustine kibingwa,
justine simfumkwe,
roster ndunguru,
frank kassanga'bwalya'
ezekiel grayson'jujuman'
john bosco,
mhando mdeve
yassin abu naphiri,
akida makunda na mlage kabange.
Mimi wachezaji hawa ndo majina yao yalikuwa yananivutia mkuu wangu....Hawa ni pamoja na wachezaji wa Kenya, Tanzania na Uganda pamoja na wachezaji wa mataifa mengine waliowahi kucheza Tanzania....
1. Ikupilika Nkoba
2. Mkama Ntare
3. Wastara Baribari
4. Mbui Yondani
5. John Kanakamfumu
6. Kingsley Malwilo
7. Chachala Muya
8. Joshua Kilale
9. Jimmy Mored
10. Mackenzie Ramadhani
11. Abdallah Mkali
12. Celstine Sikinde 'Mbunga'
13. Kichochi Lemba
14. Doyi Moke
15. George Ssemogerere
16. Hassan Afif
17. Peter Poka
18. Hussein Mwakuruzo
19. Maonwa Mkami
20. Dhikiri Mchumila
21. Ngandou Ramadhan
22. Frank Kasanga 'Bwalya'
23. Raphael Paul 'RP'
24. Mikidadi Jumanne
25. Juma Burhani
26. Steven Mapunda 'Garincha'
27. Michael Paul
28. Clement Kahabuka
29. Innocent Haule
30. Simai Haji
31. Victor John Bambo
32. Abdul Ramadhan Mashine
33. Damian Morisho Kimti
34. Hezron Mauma
35. Issa Athumani Mgaya
36. Kasongo Athumani Mgaya
37. Twaha Hamidu Makali 'Noriega'
38. Bakari Malima 'Jembe Ulaya'
39. Hamza Mponda
40. Kitwana Suleiman
41. Beya Simba
42. Hamza Mponda
43. David Odhiambo
44. Julius Kalambo
45. Maggid Musisi
46. Mustapha Hozza
47. Awadh Gessani
48. Lila Shomari.
49. Issa Sekatawa
50. Hamza Mtono
51. Duncan Mwamba
52. Juma Bakari Kidishi
53. Fikiri Magoso
54. Modorn Malitoli
55. Julian Albertov
56. Nico Bambaga.
57. Hamis Thobias 'Gaga'
58. David Mihambo
59. Ramadhan Kilambo
60. Athumani Kilambo
61. Sahau Kambi
62. Steven Casmir Nemes
63. Maulid Dilunga
64. Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' a.ka DHL
65. Method Mogella 'fundi'
66. Gibson Sembuli
67. Ahmed Amasha
68. Mchunga Bakari
69. Bakari Idd
70. David Mwakalebela
71. Godwin Aswile 'Scania'
72. Stephen Mussa
73. Mbwana Makata
74. Suleiman Mathew Luwongo
75. Juma Pondamali 'Mensah'
76. Riffat Said
77. Ally Bushiri (Kipa)
78. Ally Bushiri (Beki na kiungo wa Pamba)
79. Paul Rwechungura
80. Peter Tino
81. Gebo Peter
82. Razack Yusuph 'Careca'
83. Juma Amir Maftaha
84. Hussein Aman Masha
85. Ally Yusuph 'Tigana'
86. Omary Hussein 'Keegan'
87. Lance Evans Ponera
88. Riffat Said
89. Deo Mkuki
90. Deo Njohole 'OCD'
91. Nicodemus Njohole
92. Spear Mbwembwe
93. Bahatisha Ndulute
94. Manfred Luambano
95. Mohamed Mwameja
96. Patrick Mwangata
97. William Fahnbuller
98. Constantine Kimanda
99. Banza Tshikala
100. Salum Kabunda a.k.a Ninja a.k.a Msudani a.k.a Baba Semeni
Na hapo usikie wakitamkwa na wachezaji wa RTD kama
1. Mshindo Mkeyenge
2.Omary Jongo
3.Dominick Chilambo
4.Charles Martin Hilary
5.Barthlomeo Komba
6.Ahmed Jongo
7.Salim Mbonde
8.Abdallah Idrisa Majura
9. Idd Rashid Mchatta
10.Mikidad Mahmoud 'Brother Mick" na
11.Abdul Ngarawa
Aliyechezea Malindi sio Kenneth Malitoli....Aliyechezea Malindi ni Mordon Malitoli, mdogo wa Kenneth Malitoli...
Mordon Malitoli - Wikipedia, the free encyclopedia
Kenneth Malitoli - Wikipédia
Mkuu Balantanda nakukubali. Ila ungetuwekea vilabu vyao hao wachezaji ungebora kumbu kumbu zetu marra dufu!
Mimi wachezaji hawa ndo majina yao yalikuwa yananivutia mkuu wangu....Hawa ni pamoja na wachezaji wa Kenya, Tanzania na Uganda pamoja na wachezaji wa mataifa mengine waliowahi kucheza Tanzania....
1. Ikupilika Nkoba - Lipuli
2. Mkama Ntare - RTC Kagera
3. Wastara Baribari - Milambo
4. Mbui Yondani - Reli, Simba
5. John Kanakamfumu
6. Kingsley Malwilo - Biashara Shinyanga, Bandari Mtwara, Coastal Union
7. Chachala Muya - Sigara, Simba
8. Joshua Kilale - Tukuyu Stars, Yanga
9. Jimmy Mored - Tukuyu Stars
10. Mackenzie Ramadhani - Simba
11. Abdallah Mkali - Reli
12. Celstine Sikinde 'Mbunga' - Majimaji, Yanga
13. Kichochi Lemba - Majimaji
14. Doyi Moke - Majimaji, Simba, Yanga
15. George Ssemogerere - SC Villa
16. Hassan Afif - Simba
17. Peter Poka - Milambo
18. Hussein Mwakuruzo - Coastal Union
19. Maonwa Mkami - Pamba
20. Dhikiri Mchumila - Biashara Shinyanga
21. Ngandou Ramadhan - Yanga
22. Frank Kasanga 'Bwalya' - Simba
23. Raphael Paul 'RP' - Simba
24. Mikidadi Jumanne - Milambo, Yanga
25. Juma Burhani - Africa Sports
26. Steven Mapunda 'Garincha' - Majimaji, Simba
27. Michael Paul - Simba
28. Clement Kahabuka - Milambo, Pamba, Simba
29. Innocent Haule - Miembeni, Small Simba,Simba, Malindi
30. Simai Haji - Polisi Zanzibar
31. Victor John Bambo - Malindi
32. Abdul Ramadhan Mashine - Simba
33. Damian Morisho Kimti - Simba
34. Hezron Mauma - CDA
35. Issa Athumani Mgaya - Yanga
36. Kasongo Athumani Mgaya - Simba
37. Twaha Hamidu Makali 'Noriega' - Simba
38. Bakari Malima 'Jembe Ulaya' - Yanga, Simba, Twiga Stars, Vaal Professionals(RSA)
39. Itutu Kigi 'Road Master' - Pamba, Simba
40. Kitwana Suleiman - Pamba
41. Beya Simba - Pamba
42. Hamza Mponda - Pamba
43. David Odhiambo - Gor Mahia
44. Julius Kalambo - Ushirika
45. Maggid Musisi - SC Villa
46. Mustapha Hozza - Simba
47. Awadh Gessani - Yanga
48. Lila Shomari - Simba
49. Issa Sekatawa - SC Villa
50. Mohamed Mtono - Reli
51. Duncan Mwamba - Reli
52. Juma Bakari Kidishi - Small Simba, Mlandege
53. Fikiri Magoso - Reli, Simba
54. Modorn Malitoli - Nkana Red Devils, Malindi
55. Julian Albertov - Malindi
56. Nico Bambaga - Pamba, Yanga, Malindi, Simba
57. Hamis Thobias 'Gaga' - Simba, Yanga
58. David Mihambo - Reli, Simba
59. Ramadhan Kilambo - Yanga
60. Athumani Kilambo - Yanga
61. Sahau Kambi - Yanga
62. Steven Casmir Nemes - Yanga, Simba
63. Maulid Dilunga - Yanga
64. Zamoyoni Mogella 'Golden Boy' a.ka DHL - Simba, Yanga
65. Method Mogella 'fundi' - Simba, Yanga
66. Gibson Sembuli - Yanga
67. Ahmed Amasha Yanga, Fanja FC
68. Mchunga Bakari - Simba
69. Bakari Idd - Simba
70. David Mwakalebela - Pamba, Yanga
71. Godwin Aswile 'Scania' - Tukuyu Stars, Yanga
72. Stephen Mussa - Tukuyu Stars, Yanga
73. Mbwana Makata - Tukuyu Stars, Yanga
74. Suleiman Mathew Luwongo - Ushirika , Yanga
75. Juma Pondamali 'Mensah' - Yanga, Pan African
76. Riffat Said - Malindi, Yanga
77. Ally Bushiri (Kipa) - Malindi
78. Ally Bushiri (Beki na kiungo wa Pamba) - Pamba
79. Paul Rwechungura - Simba
80. Peter Tino - Yanga
81. Gebo Peter - Sigara
82. Razack Yusuph 'Careca' - Coastal Union
83. Juma Amir Maftaha - Pamba, Simba
84. Hussein Aman Masha - Pamba, Simba
85. Ally Yusuph 'Tigana' - Simba, Yanga
86. Omary Hussein 'Keegan' - Yanga
87. Lance Evans Ponera - Majimaji, Yanga
88. Riffat Said - Malindi, Yanga
89. Deo Mkuki - Pamba, Simba
90. Deo Njohole 'OCD' - Simba
91. Nicodemus Njohole - Simba
92. Spear Mbwembwe - Lipuli, Simba
93. Bahatisha Ndulute - Ushirika, Simba
94. Manfred Luambano - Miembeni
95. Mohamed Mwameja - Coastal Union, Simba
96. Patrick Mwangata - Simba
97. William Fahnbuller - Yanga
98. Constantine Kimanda - Yanga
99. Banza Tshikala - Yanga
100. Salum Kabunda a.k.a Ninja a.k.a Msudani a.k.a Baba Semeni - Yanga
Sidhani ila wanaokumbuka zaidi wanaweza kutujuza manake nakumbuka huyu alikuwa kipa wa pamba ya mwanza enzi hizo....Yawezekana unamchanganya na Lubigisa Lubigisa....