Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

Hebu tujikumbushe Pan Africa FC;
Juma Pondamali
Mohamed Mkweche
John Faya
Leodgar Tenga
Jella Mtagwa
Ali Katolila
Ibrahim Kiswabi
Goldian Mapango
Peter Tino

Mkitaja na aka zao ndio inanoga ! kama vile:
Celestine 'Sikinde' Mbunga.
Mohamed Yahaya Tostao.
Alli Katolila Buldozer
Juma Pondamali Mensah
Itutu Kigi 'Road Master'
Mohamed Mwameja Tz One
Omar Hussein Keegan
Ball Jaggler Malota Soma
Zamoyoni Mogellah Golden Boy
Raphael Paul 'RP'
Boniface Mkwasa 'Master'
General Juma Mkambi
Homa ya Jiji Makumbi Juma
Daud Salum 'Bruce Lee'
 
sanifu lazaro, 'tingisha'
Fumo felician,
Clement kahabuka,
Fikiri makosa,
Sahau kambi,
Yona kasambale,
Damian kimti,
Hamis gaga rhino,
Nteze john lungu,
Mwanamtwa kiwelu,
John masamaki
WHERE ARE THEY JAMANI?

Kahabuka nilikuwa namuona mwanza miaka ya nyumaa na nissan patrol yake cjui kama bado anaishi huko alikuwa anakaa mabati enzi hizoooo
 
fikiri magoso
hamisi gagarino
jumanne masimenti
said mwamba 'kizota'
john baraza
sanifu lazaro 'homa ya jiji'
nteze john 'rungu'
quresh ufunguo
salvatory edward
edward chumila 'wonder boy'
omary mahadhi
ally yusufu 'tigana'
juma maftah 'pele wa mwanza'
mwanamtwa kihwelu 'dariki moko'
 

3. Fred Felix Minziro ''Katalay Baba Isaya Majeshi''
 
JUma kachumbali
Paul rwechungura
Juma Kidishi
Athuman China/Juma China.
Salum Kabunda
Abdallah suleiman kaburu
Salim kitog
Max ngube
John mngazija
Yasin saleh
Mahmoud khalfan
Mlage kabange
Fura mwikalo
Saulo jaji
Rp
Twaha hamidu
Ally maumba
Agrey chambo
Victor nkanwa
Juma mgunda
Yasin Abuu Napili
Razak Yusuf
Said Zimbwe
Issa Athuman
Said mwamba
Natamani kulia nikikumbuka
 

Attachments

Rajabu Rashid
James Washokera
Abunu Issa
Mohamed Mgalike
John Mngazija
Rosta Ndunguru
Mwimbage Omary
Rashid Mmanga
Joseph Katuba
Mahmoud Nyalusi
Peter Lucas
Obby Mwambungu
Seleman Pembe
Kitwana Suleiman
Madata Lubigisa
Malota Soma
Samli Ayoub
 
Thuwein Ally
Boi Iddi "Wickens"
Frank Kassanga '"Bwalya"
Merhod Mogella "Fundi"
Hamisi Gaga
Masoud Suleiman "Chile"
Issa Lambo
Victor John Bambo
Said Mwamba Nassor "Kizota"
Mhando Mndeve.
 
Fuckson Kapumbu- Zambia national team
 
Huyu Abdalah Bori,anafanya kazi kwenye kampuni moja kwa sasa ambapo niko nae karibu sana aliwahi kunisimulia kwamba alikuwa mcheza mpira nikamkatalia kabisa, nimeona anatajwa hapa, kumbe ni kweli. Maana yawezekana enzi hizo nilikuwa mtoto.
Noma huyo alikua anaujua mpira kweli kweli
 
2008 nilikutana na Rwechungura Adelphi, Maryland. Ana kampuni yake binafsi ya kufanya Electrical Installation. Amekuwa bonge la mtu ana miraba mi4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…