Majina ya wadada husadifu yaliyomo

Hapo kwa kina Neema na Maria hujakosea
 
usemacho huenda kinauhalisia mkuu, nimewahi date na wadada kadhaa wakuitwa jina moja, Nilichogundua kitabia wote walifanana.
 
Itabidi nifanye uchunguzi
 
Kuna ukweli kiasi. Hiyo seti ya kwanza WENGI ni watulivu na wagum kutoa. Wavumilivu na wanadumu kwene mahusiano.

Hiyo seti ya pili ndo mang'ana WENGI wao ma.laya hlf ni machojuu sana (wasumbuf) na anakutaka wewe na wakati huohuo anamtaka rafikiyako uliyefuatana naye au ana mtu mwingine, hawatosheki.

Ongezea seti ya akina esha, airin, eisha, asha, asmah, batuli, mariam, esnath hawa wengi chu.pi mkonon yyote anaetokea mbele yao twende tu, sio wachoyo ila sio wasumbf km wa hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…