Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
hawa hawahitajii kuongozana nae kwani deal zao hazihitaji wafanyabiashara wa nje..
nasikitika wazalendo wetu watarejea na shopping ya nguo, pc, simu na viatu........
Tatizoo sio hiyoo shopping ila ni kwamba wameonyesha mara nyingi katika hizi safari (ile ya marekani na kwingine) wafanyabiashara wetu huwa hawako STRATEGIC kutengeneza business deal..[/COLOR][/B]
Haya maneno ya kuhisi sio mazuri mkuu,
hivi unahisi huko Turkey vitu kama nguo na simu,viatu na ....................,ni bei rahisi?
Sasa baadala ya kwenda huko si wangekata tiketi kwenda Asia?China,Thailand nk
Karibu robo tatu ya walio enda huko ni serious businessmen and women kuliko unavyo fikilia wewe.jaribu na wewe uende walao Nairobi kwenye msafara wa namna hiyo basi
Mi sioni tatizo, maana kaenda na wazalendo, tatizo kama angeenda na maghabachol
wazalendo twende kufanyanini Turkey na biashara zetu za kuuza vocha na vyuma chakavu na spea used .acha wahindi waende bana maana wa TZ tumelegea sana kama mlenda kazi yetu kulalamika tu ..aghhhhh