Chiwaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 5,726 Reaction score 3,778 Dec 1, 2022 #1 Za Asubuhi Wakuu, Majina ya vijana wenu wa UDOM wanaotegemea kuwepo siku ya tar 2. Dec 2022 kwenye graduation ni hayo yaliyoambatanishwa kwenye Thread hii. Kwa taarifa za Kina rejea Link ifuatayo:- Attachments MAJINA YA GRADUATES WA UDOM 2022.pdf MAJINA YA GRADUATES WA UDOM 2022.pdf 1.4 MB · Views: 64
Za Asubuhi Wakuu, Majina ya vijana wenu wa UDOM wanaotegemea kuwepo siku ya tar 2. Dec 2022 kwenye graduation ni hayo yaliyoambatanishwa kwenye Thread hii. Kwa taarifa za Kina rejea Link ifuatayo:-
Mpigamimba Senior Member Joined Nov 26, 2022 Posts 198 Reaction score 237 Dec 1, 2022 #2 Siku hizi mambo ya majina Hadi JF, enzi zile Hadi ije barua wa njia ya posta, au kwenda kuangalia majina ukutani, walau kwenye magazeti miaka ya baadae, as asa imeenda Hadi kwenye simu zetu. Na Leo kila pahala.
Siku hizi mambo ya majina Hadi JF, enzi zile Hadi ije barua wa njia ya posta, au kwenda kuangalia majina ukutani, walau kwenye magazeti miaka ya baadae, as asa imeenda Hadi kwenye simu zetu. Na Leo kila pahala.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Dec 1, 2022 #3 Yakiisha watubariki kwa picha tulioko mbali
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Dec 1, 2022 #4 😀😀😀😀😀petroleum yupo mmoja
Ultimate JF-Expert Member Joined Nov 29, 2016 Posts 739 Reaction score 1,888 Dec 1, 2022 #5 Mkuu unaweza kupata ya udsm ukanisaidia