Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
majina yako wapiMuda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021.
View attachment 1829688
========= UPDATES=======
Nasema kaa hapa hapa usitoke.
Acha kuwavuruga vijana bhana! Utakuja uwaue kwa presha, halafu tuishie tu kukulaumu.Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021.
View attachment 1829688
========= UPDATES=======
Ni tamisemi wenyewe mkuu ndio wametoa tangazo inawezekana walisahau kuchomeka majina ya ndugu zao hivyo wamerudisha mkeka wizarani kufanya modificationAcha kuwavuruga vijana bhana! Utakuja uwaue kwa presha, halafu tuishie tu kukulaumu.
Mkeka badoHii tuhesabu kesho tu