msovero JF-Expert Member Joined Jun 30, 2019 Posts 863 Reaction score 1,534 Jun 25, 2021 Thread starter #21 maliedo said: Hii tuhesabu kesho tu Click to expand... Leo wamechemsha kama walikuwa hawajajipanga wangetulia tu. Lakini kwa kisanga hiki cha leo ni dhahiri wamejipaka matope wasubiri kuchafuka tu majina yakitoka
maliedo said: Hii tuhesabu kesho tu Click to expand... Leo wamechemsha kama walikuwa hawajajipanga wangetulia tu. Lakini kwa kisanga hiki cha leo ni dhahiri wamejipaka matope wasubiri kuchafuka tu majina yakitoka