Jeshi la kujenga taifa nchini (JKT) limetangaza majina ya waliohitimu mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti mwaka 2014 wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya jeshi hilo.
Kwa taarifa zaidi, pamoja na kuona majina hayo bofya hapa WALIMU-CHETI KWENDA VIKOSI MBALIMBALI