Majina ya walimu ngazi ya cheti wanaotakiwa kujiunga na mafunzo ya jkt 2014 haya hapa

jamani naombeni muniangalie JOHN GASPER- Mtwara chuo diploma kwani niko village kuangalia issue
 
inaonekana ni grade a tu ndo wanaenda humo
 
andika majina yako kwa usahihi nikuchekie hapa maana hilo uloloandika sijaliona kwenye list hapa
 
tarehe ya kwenda ndo msamiati hawajasema chochote labda watasema mbeleni:llama:
 
PHILEMONI M LUCA.
Korogwe tchers colege tanga.
naomba unangalizie m n diploma nimehitimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…