Majina ya walimu waliomaliza first degree mwaka huu yametoka?

Majina ya walimu waliomaliza first degree mwaka huu yametoka?

KANCHI

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2011
Posts
1,532
Reaction score
230
Ajira za kitaa zinasumbua ndugu zanguni !!
 
Hayo majina yatatoka mwakani mwez ka huu,sababu kubwa ni gvt ya jk haina pesa.
 
Una haraka ndugu!
Onja kwanza ugumu wa mtaani ili usigome ukipelekwa bush.
 
Jamani yakitoka tujulishane wana jf.
 
Back
Top Bottom