Wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu.
Naomba kuuliza Kwa anaefahamu majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya veta January 2021 lini yatatoka?
Maana tuliambiwa tarehe 1/12/2020 yatakua tayari na mpaka sasa naona kimya kwenye website yao.
Ambae anafaham anisaidie tafadhali.