Majina ya waliochaguliwa na TCU second round haya hapa

Haya jamaa yaani vyuo vimeshafunguliwa bdo wanazungusha tu watu.

1. A comparative study of consumer's perception of "Made in China" products and India in Tanzania.

any one who wanna work with me for conducting a research you are welcome....634447441@qq.com

1. A comparative study of consumer's perception of "Made in China" products and India in Tanzania.

any one who wanna work with me for conducting a research you are welcome....634447441@qq.com

we mzima kweli?

umeingilia mada ucyojua historia yake.

kuna chuo km SAUT kimeshafunguliwa alaf wao wamechelewesha kutoa majina hvyo ina maana wale watakaochaguliwa leo wanahitajika mapema iwezekanavyo, kumbuka m2 hajaweza jiandaa vizur kutokana na kutojua gharama za chuo aendacho. Dats ma point. Na ndo mana nimesema wanawazungusha watu.mia

ucjitetee bwana kwani SAUT si wanafaamu kuwa wengne bado majina yao?

unamaanisha pre entry au vp??je wenye mikopo imeshafika huko SAUT au vp?

jamani vipi wale tulio kosa mkopo matumaini ya kufikiliwa yapo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…