Majina ya waliochaguliwa St Joseph University yametoka

Chungu cha bibi

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
525
Reaction score
166
Attention to all applicants of degree programmes for the academic year 2014-2015, Tcu- list first
selection is out. Click to view the details

Wewe Chungu cha bibi kila siku unakuja na info za udaku humu.

Jamaaa Hadi Umenikalili??? Ila Hyoo Nk Kweli Mkuu Kwenye website Yao "News And Events" Wameka Majina..Ingia Ukaangalie Nmeshindwaa Jinsi Ya Kuweka Link Humu Lakini Yale Maneno NmewaCopy Kwenye Website Yao..
 
Last edited by a moderator:
Oya kwan hayo majina kila chuo yanatoa yakwake au mbona sielew jana tu nmesikia cjui JORDAN cjui TUMAIN cjui chuo gan wametoa majina mbona sielew hapo inakuaje na hayo ya tar 22 ni yap
 
Ni kweli kabisa wametoa hiyo list
 
Jamaaa Hadi Umenikalili??? Ila Hyoo Nk Kweli Mkuu Kwenye website Yao "News And Events" Wameka Majina..Ingia Ukaangalie Nmeshindwaa Jinsi Ya Kuweka Link Humu Lakini Yale Maneno NmewaCopy Kwenye Website Yao..

Samahani mkuu Chungu cha bibi coz nimeshapata uhakika wa info yako. stay blessed
 
Last edited by a moderator:
Oya kwan hayo majina kila chuo yanatoa yakwake au mbona sielew jana tu nmesikia cjui JORDAN cjui TUMAIN cjui chuo gan wametoa majina mbona sielew hapo inakuaje na hayo ya tar 22 ni yap

ni hivi mkuu TCU huwa wanasubmit majina kwa vyuo husika kwanza ili wayakague kama wanafunzi waliochaguliwa ktk chuo hisika wanakizi vgezo au la? kwa hyo vyuo vikimaliza kukagua vinarudisha report TCU then chuo kinaweza kuyaweka out Kabla TCU hawajarelease yote kwa ujumla lkn n maamzi ya chuo kiyzrelease ya kwao au kutorelease...
 
Oya kwan hayo majina kila chuo yanatoa yakwake au mbona sielew jana tu nmesikia cjui JORDAN cjui TUMAIN cjui chuo gan wametoa majina mbona sielew hapo inakuaje na hayo ya tar 22 ni yap

Vyuo Vya Private Mara Nyingi Hutoa Majina Yao Mapemaa...Tumaini Walishatoa Na St Joseph Wametoa Jana.
 
Ivi unajuaje km unechaguliwa chuo Fulani? Unaangalia kwenye account yako ya TCU au? Msaada tafadhali kwa anayefahamu
 
Ivi unajuaje km unechaguliwa chuo Fulani? Unaangalia kwenye account yako ya TCU au? Msaada tafadhali kwa anayefahamu

Watatoa Majina Wenywe TCU na Kila Mwaka Kuna Utaratibu Wake Vyuo Vingine Subirini Tar 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…