Majina ya waliochaguliwa St Joseph University yametoka

jaman majina haya n wale walio aply first au nawa second wamo??? msaada tafadhal
 
mbona kuna majna ya watu ambao tuliomba second round hapo st.joseph(arusha) natkaambiwa selected mpka saiv profle znasema hvo lakn kwny majna hayo hatmo ?? labda tatzo nn jaman, msaada tafadhal
 
Hayo Majina Ni Ya 1st Round Kama Sijakosea..Ukiona wew ni wa Second Round Afu Jina Lako Halipo Usiogope Maana Chuo Akijajaa Kama Civil wanataka Nafasi 240 Hapo Wamefika 141 Tu.
 
jaman kama kna mwny taarfa kamil ya majna hayo ya st.joseph n kwa awam ya kwanza tu au na ya pil?"""mnatchangnya mara n awam ya kwanz weng n wanasema awam zote sasa tuelewe lip jaman""::::!!!!
 
jaman kama kna mwny taarfa kamil ya majna hayo ya st.joseph n kwa awam ya kwanza tu au na ya pil?"""mnatchangnya mara n awam ya kwanz weng n wanasema awam zote sasa tuelewe lip jaman""::::!!!!

hayo ni 1st round tu. Ya second round bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…