Habari za kwenu wadau!
Naomba kuuliza kama NACTE wameshatoa majina ya walioomba mafunzo ya ualimu awamu ya pili,," maana nacte baada ya kuongeza muda wa kutuma maombi walisema watayatoa mwanzoni mwa mwezi wa tatu lakini mpaka sasa kimya.
Kwa anayefahamu atujuze tafadhali
Ahsanteni!