Majina ya waliochaguliwa UDOM yanatokalini

Majina ya waliochaguliwa UDOM yanatokalini

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Wana jf naomba kuuliza kwa mwenye kujua, ivi majina ya watakao soma kozi za diploma udom zitatoka lini. Nimesubiri nimeshindwa hata kuomba sehemu nyingine .
 
Du haya ila ngojangoja huumiza matumbo
 
Back
Top Bottom