BONIFAS TEOPHIL
New Member
- Sep 24, 2013
- 2
- 0
Nertwork issue jamani naomba msaada hapa
S0741/0044/2009
Itakuwa kweli majanga tu!Thanks bronimekutana na huu ujumbe;
The student with Index number'S0232.0024.2010'did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
kama ni wa kweli uckate tamaa
dah hwa jmaa wanatuzingua mtandao wao hta hausom
Itakuwa kweli majanga tu!Thanks bro
kwani wewe unatumia nini? Mbona mimi na simu yangu saizi netwk imetulia hvyo? Weka namba fasta nikuangalizie.
Mkuu we 1st yr au continuing? Nimekutana na ujumbe huu;
The student with Index number'S0741.0044.2009'did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year
kwani wewe unatumia nini? Mbona mimi na simu yangu saizi netwk imetulia hvyo? Weka namba fasta nikuangalizie.
ndo unaenda kuanza?
Wadau naomba uniaangalizie index s.0145/0008/2010
Jaman 2liopangwa IFM kuna Yeyote aliyesecure Mkopo..
eti kwa continuos walioomba upya pia wanaangalia hapa??