Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo kozi wacha ulambe kila kitu ila uungwana ni vitendo jama waliolamba pesa za bodi time ikifika turudishe ili wenzetu nao wapate

Luno G....

Me kama kurudisha,ntarudisha but under harsh conditions..

Wanipe kwanza 30'000 yangu..
 
Last edited by a moderator:
Na mm wamenipa asante Mungu.Kama hujajiona kuwa mpole network itakaa poa.
 
wadau mm nimeshindwa,nimetumia browser zote google chrome,opera,mozila ngoma imebuma,nimejaribu kuclose tab zote niache hio ya olas tu mambo yaleyale,yaani miguu inatetemeka kama nimetoka kupiga nyeto,kama kuna mtu mtandao wake uko fresh anisaidie nijue nakufa vipi...plz
 
mnaziwekaje hizo ndex no wadau?

Box la kwanza tupia opxn ya s (s)
Box la pil tupia # ya shule ya 4m4 (0000)
Box la tatu tupia # ako ya 4m4 (0000)
Box ka mwsh tupia nwaka ulonalza 4m4 (2030)
Then bofya sach
 
ondoeni mashaka kwa ambao hamjapata mana sir GOD yuko nanyi
 

mh! Pamoja na ku-quote mstari biblia vizuri inaonyesha kuwa unamwamini Mungu lakini hayo unayofikiria sasa ni dhambi mbele ya Mungu. Kwa kufanya hvyo hautokuwa tafauti na mafisadi wanaodhulumu mali ya Watanzania maskini. Tafadhali usiseme hvyo, hyo pesa inaweza kukutenda vbaya.!
 
Du!!,mkuu usituchoke kama speed ya net kwako inaruhusu nichekie S.0596.0119.2010 yaani shamba kuokota korosho
 
Msaada s1947/0140/2010 password 264790

Kwa number hii, boom hilo hapo na hiyo ndo breakdown

ARDHI UNIVERSITY (ARU)
Course : BSBE
Year of Study : 1
Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA) 1,852,500
Books And Stationary (BS) 200,000
Field Practical and Trainings (FPT) 620,000
Tuition Fee 1,212,000
Research 50,000
Special Faculty Requirements (SFR) 217,150
TOTAL AMOUNT. 4,151,650
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…