mbona kwenye profile nyingine kama ya rafiki yangu kunazo selections zote alizochagua kwangu hamna kitu kama hicho nashindwa kuelewa tcu wanamaanisha nini kwa ambao selection status zetu hazipo sasa sijui kwa ambao za kwetu hazionekaniki ndo tuombe second chance or........????:A S 465:
ndo ivyo kaka nyie ndo wa second applictn kwangu mimi mambo yana display fresh hata ile view my selection isharudi.!
hapana mkuu mimi ilikua hivyo nikawapigia wamesema nicheki kesho
mkuu mambo yako pouwa bt kuna haka ka toolbar kanakosema 2nd round applctn kana nipa wasiwasi embu jaribu kuingia tena uone
Kwa habari za kutoka jikoni ni kuwa wale walioshindwa kudahiriwa na tume ya vyuo vikuu majina yatakuwa kwenye mtandao baada ya saa 1. Stay tuned.
Onyo: usinitukane, wait and see! Au piga tcu kupitia 0712722684
saa moja ya kiswahili au inamaana saa saba mkuu..Kwa habari za kutoka jikoni ni kuwa wale walioshindwa kudahiriwa na tume ya vyuo vikuu majina yatakuwa kwenye mtandao baada ya saa 1. Stay tuned. Onyo: usinitukane, wait and see! Au piga tcu kupitia 0712722684
ka inawezekana kutoa majina ya walioshindwa usahir je walioshnda inashndikana nn?