Majina ya walioshindwa TCU!!

tatizo jamaa hajajieleza vizuri,kwani kama umetupwa 2nd round hauwezi kuomba ile program unayoitaka kama ipo kwenye ile list ya empty slots?
 
yeah wamenitupa 2nd round...ila katika maelezo wameniambia ni badili programa so nimechanganyikiwa hapa,hiyo EMPTY SLOTS ndo nini? msaada
 
Hapo nimekuelewa sasa. Ukifungua TCU kwenye news zao wameweka programs zilizowazi(empty slots) pamoja na chuo husika ambazo mtu anaweza kuomba kwa second round. Tembelea tovuti ya tcu,angalia hzo nafasi zilizowazi kama utapata program unayoitaka. Vipi hapo umenielewa? Kama bado uliza nikueleze zaidi.
 
Jana nilifungua account ya Kijana wangu TCU, ilionesha He is Selected. Nimedungua tena leo, hiyo status haipo, na hakuna status yoyote ile. Tatizo ni nini? Mwenye kuelewa tuambiane. Isije ikawa mtu unatakiwa kufanya 2nd apll na muda ukaishia kupita. TCU jitahidini kuwa consistent!!!!!...........
 
chakufanya ni kuangalia slot na kujaribu kuapply tena mkuu
 
sasa hv iyo kitu ya "you are admitted"
wameiondoa so usife moyo
 
Nemesha achana na TCU saivi nacheza na HESLB pekeyao
 
jamani mi nafikiri ni wakati serikali ifikirie kurudisha system ya zaman ya kuapply direct institution mtu anayotaka maana naona kuletwa kwa tcu imefanya application system iwe slow au mnaonaje wakuu
 
jamani mi nafikiri ni wakati serikali ifikirie kurudisha system ya zaman ya kuapply direct institution mtu anayotaka maana naona kuletwa kwa tcu imefanya application system iwe slow au mnaonaje wakuu

unataka ulipie Tsh.30,000/= kila chuo utakacho omba?? bora Tsh.30,000/= unapata kozi zako nane.
 
ingiza pasword zako ukianza na herufi kubwa, ikigoma ingiza pasword zote kwa herufi kubwa tu, au ndogo tu, hata mie nilikutana na jambo hlo,
 
unataka ulipie Tsh.30,000/= kila chuo utakacho omba?? bora Tsh.30,000/= unapata kozi zako nane.

bora ibadilike sababu itaspeed up the system afu itafanya applicant awe more accurate
 
bora ibadilike sababu itaspeed up the system afu itafanya applicant awe more accurate

Mi kwa mtazamo wang naona hii sytem ni nzuri sana sema waiboreshe, wawaelimishe watumiaji kuepuka kukosea kosea kisha watoe majibu ndan ya mda unaoeleweka..
 
jamani mi nafikiri ni wakati serikali ifikirie kurudisha system ya zaman ya kuapply direct institution mtu anayotaka maana naona kuletwa kwa tcu imefanya application system iwe slow au mnaonaje wakuu

System ya zamani ilikua nzuri kwa wenye hela na waliofaulu vizuri. Kwasabu mtu ulitakiwa ulipie elfu 30,000 kila chuo sasa hapo ufaulu ndio utakao kubeba kuna wengine wanapata vyuo vyote wengine hawapati hata kimoja.
Sasa hivi uhakika wa kupata chuo ni mkubwa kuliko zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…