Pre GE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

Pre GE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.

Screenshot_2024-05-18-12-39-18-1.png
Screenshot_2024-05-18-12-46-09-1.png

Dickson Lucas Matata

Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na kusimamamiwa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama.

===

Usiondoke JF kwa vile tutakuletea majina mengine na kanda zake kwa kadri yanavyoendelea kutolewa .

Peter Msigwa na Joseph Mbilinyi wateuliwa Kanda ya Nyasa

FB_IMG_1716028286233.jpg
FB_IMG_1716028302148.jpg

John Pambalu ateuliwa kugombea Kanda ya Victoria

Screenshot_2024-05-18-13-48-54-1.png
 
Jina la kwanza kuwekwa hadharani ni la huyu Dickson Matata, ambaye ameteuliwa kuwania uenyekiti kanda ya Magharibi.

Dickson Lucas Matata

Ameteuliwa na Kmati Kuu ya Chama kugombea nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Magharibi. Uchaguzi katika Kanda hiyo utakaofanyika tarehe 29 Mei, 2024 na kusimamamiwa na Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama.

===

Usiondoke JF kwa vile tutakuletea majina mengine na kanda zake kwa kadri yanavyoendelea kutolewa .
huyu anafahamika ni chuma cha mkono wa mwamba wa kaskazini ambae inafahamika bayana hata mtoa hoja unamkubali kiana huyo mwamba au sio 🐒

hapo tunaenda kukamilisha ratiba tu kama Yanga Africa NBC Premier league 🐒
 
Yameanzaje kuwekwa hadharani mara ya pili wakati mimi nimetumiwa majina yoote kwa kanda zote? Kweli Upo nyuma sana ndugu yangu na rafiki yangu Erythrocyte. Mimi ninayo yote na kila kitu ila sijataka kuandika wala kuingilia jambo hilo.
 
Yameanzaje kuwekwa hadharani mara ya pili wakati mimi nimetumwa majina yoote kwa kanda zote? Kweli Upo nyuma sana ndugu yangu na rafiki yangu Erythrocyte. Mimi ninayo yote na kila kitu ila sijataka kuandika wala kuingilia jambo hilo.
Tunakushukuru kwa kuifuatilia Chadema
 
Lumumba wamejikunyata upenuni macho na masikio Kinondoni
Kinondoni kufanya nini wakati taarifa zote zipo kiganjani Mwetu juu ya majina yote yaliyopitishwa katika kanda zote Tangia muda tu? CCM ipo mbele ya wakati. Hata ningetaka kuyaweka hadharani humu jukwaani ningefanya hivyo lakini mimi huwa sikurupuki kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom