Pre GE2025 Majina ya Walioteuliwa kugombea Uenyekiti wa Kanda za CHADEMA yaanza kuwekwa hadharani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo hata mpango wa kuzichukua fomu zile mda ukiwadia mnesha upanga,au kutoroka ufisi zile za kupokea fomuπŸ€ͺ
 
Warudishe pesa ya Abdul
 
Na kiherehere chako ungeacha kuyaleta humu?
Huyu Lucas Mwashambwa huwa akiamua kumwaga pumba zake huandika makala ndefu balaa..

Cha ajabu hajawahi kuwa acknowledged kwa kupewa hata ukatibu tarafa tu.

Huyu Lucas Mwashambwa anapitia route ya Pascal Mayalla ya kusifu, kulamba viatu vya watawala na mwishowe rafiki yetu huyu kazeeka bila kupata uteuzi wowote..

Hii ya kutegemea kuabudu watu ili uishi hapa duniani, ni fedheha na hatari sana aisee..

Mimi sitashangaa ikitokea Lucas Mwashambwa akapotea ghafla hapa jukwaani au akabadili ID kabisa na kuanza kuiponda CCM yake na kuisifu CHADEMA..

Hii itakuwa ni kwa sababu ya disappointment atakayoipata huko CCM kwa matarajio yake kutofikiwa..

Leo mwenzake Pascal Mayalla hajulikani ni wa moto, baridi au vuguvugu..

Hata hivyo, nampenda Pascal Mayalla kwa sifa moja nzuri. Ni jasiri. Huwa habadili ID yake bila kujali amepata au kakosa. Utamgundua yuko wapi kwa hoja zake tu, basi..🚢🏻🚢🏻🚢🏻🚢🏻🚢🏻🚢🏻

Na kuna Chawa wa CCM humu miaka ile, walikuwa hatari kuliko Lucas Mwashambwa. Baada ya kuwa disappointed na CCM, hata haijulikani wako wapi leo..
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…