makaomakuu
Member
- Nov 17, 2010
- 46
- 4
Fuata hiyo link hapo chini mkuu.Sioni jina hapa, au nivae miwani.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mbona watu maarufu wengi tu,wapo;Namuona mheshimiwa Jerry Slaa meya wa Ilala nae amepata uwanja Mabwepande
Pia naona Mh. mwingine hapo namba 413, au ni majina tu yanagongana!? Kama ndio basi haya majina yametolewa 'Kitanzania'.Namuona mheshimiwa Jerry Slaa meya wa Ilala nae amepata uwanja Mabwepande
nimemuona na Mwigulu, kusema kweli majina yote yamekaa kisiasa siasa. Kuna watu waliomba huko na walitegemea kupata lakini kufuatia 'tittle' zao kuwa ndogo nasikia hakuna hata mmoja aliyepata.Mbona watu maarufu wengi tu,wapo;
Said Meck Sadick,Mwigulu lameck,Aggrey Mwanri,Nape NNauye,Joshua Nassari,Sofia Simba...wote hawa ni wananchi na wana haki ya kupata viwanja kama wananchi wengine.
Fuata hiyo link hapo chini mkuu.